Header AD

BALOZI MERO AWAANDALIA FUTARI WATANZANIA GENEVA

Balozi wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Geneva,  Mhe.  Modest Mero (kanzu jeupe) akila futari pamoja na wageni wake mbalimbali wakiwepo watanzania waishio Geneva katika futari maalum aliyowaandalia nyumbani kwake jana. 
wageni mbalimbali wakijipakulia futari hiyo katika makazi ya Balozi.
BALOZI MERO AWAANDALIA FUTARI WATANZANIA GENEVA BALOZI MERO AWAANDALIA FUTARI WATANZANIA GENEVA Reviewed by crispaseve on 08:21 Rating: 5

No comments

Post AD