Header AD

RIHANNA AKATA MITAA NA KIVAZI CHA KULALIA

Rihanna akikata mitaa huku akiwa ametupia night dress ya pink

 Mwanamuziki wa pop asiyehishiwa na vituko kila kukicha, Robyn Fenty AKA Rihanna ametoa kioja kingine cha mwaka baada ya kuonekana akikatiza mitaa ya jiji la New York juzi jumanne huku akiwa ametinga vazi la kulalia maarufu kama nightdress, kitendo kilochoonekana kuwavutia mapaparazi wengi na kutumia mwanya huo kumfotoa mapicha ya kutosha. Mtazame Hapo Chini……
Rihanna akikata mitaa huku akiwa ametupia night dress ya pink
Badgal Riri Riri Vevo Riri
RIHANNA AKATA MITAA NA KIVAZI CHA KULALIA RIHANNA AKATA MITAA NA KIVAZI CHA KULALIA Reviewed by crispaseve on 02:29 Rating: 5

No comments

Post AD