Baada
ya ngoma yao ya Chelewa(Bokodo) kufanya poa kwenye media mbalimbali
hapa nchini, kundi la Navy Kenzo linaloundwa na vichwa viwili, Aika na
Nahreel wamedondosha video mpya ya wimbo huo ambao umeongozwa na
dairekta toka Kenya, Enos Olik. Utazame Hapo chini.
KICHUPA KIPYA : NAVY KENZO – CHELEWA(BOKODO) [Official Video]
Reviewed by crispaseve
on
02:24
Rating: 5
Post a Comment