KAMATI YA BODABODA DAR YATOA TAMKO KUZUIWA KUINGIA MJINI
Na Gabriel Ng’osha/GPL
Kamati ya madereva wa bodaboda jijini Dar es Salaam iliyokuwa na wajumbe kadhaa, leo imefanya mkutano na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari katika Ukumbi wa Habari Maelezo-Posta ambapo umetoa tamko la kuitaka serikali kuwaruhusu kuingia katikati ya jiji vinginevyo madereva wote wataandamana.
KAMATI YA BODABODA DAR YATOA TAMKO KUZUIWA KUINGIA MJINI
Reviewed by crispaseve
on
23:58
Rating:

Post a Comment