Header AD

KICHUPA KIPYA : VICTORIA KIMANI – PROKOTO Ft. DIAMOND PLATNUMZ, OMMY DIMPOZ [Official Video]

Victoria Kimani - Prokoto
Diva wa Chocolate City, Victoria Kimani ameachia video yake mpya ”Prokoto”  akiwa amevishirkisha vichwa viwili hatari vinavyoutendea haki muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz na swahiba wake Diamond Platnumz ambayo imeongozwa na Dairekta  ‘Kevin Bosco Jr’.  Itazame Kwa Mara ya kwanza hapo chini…

KICHUPA KIPYA : VICTORIA KIMANI – PROKOTO Ft. DIAMOND PLATNUMZ, OMMY DIMPOZ [Official Video] KICHUPA KIPYA : VICTORIA KIMANI – PROKOTO Ft. DIAMOND PLATNUMZ, OMMY DIMPOZ [Official Video] Reviewed by crispaseve on 06:45 Rating: 5

No comments

Post AD