Header AD

JUSTIN BIEBER AMWAGA RADHI STEJINI


Justin Bieber
Justin Bieber
Hitmaker wa Baby, Justin Bieber aliuduwaza umati wa watu uliohudhuria onyesho la mavazi na muziki ‘Fashion Rocks’  usiku wa Jana(Septemba 09) kwenye ukumbi wa Barclays Center baada ya kusaula kila kitu stejini na kubakiwa na nguo ya ndani aina ya Boksa iliyotengenezwa na kampuni ya Calvin Klein..
Bieber mwenye miaka 18 alifanya kituko hicho baada ya kupanda stejini na mwanamitindo Lara Stone  kwa ajili ya kumkaribisha mwanamuziki  Rita Ora lakini ghafla akaanza kwa kusema, “I actually don’t feel comfortable unless I’m in my Calvins.”  na kisha akaanza kuvua nguo moja baada ya nyingine huku akitazamwa watu.
”Grandma always said kill ‘em with kindness…and then strip on live national tv. Lol.’‘ aliandika Bieber kwenye mtandao wa Twitter na kukanusha kuwa  kitendo alichofanya hakikupangwa.
Justin Bieber
Justin Bieber akianza kusaula nguo moja baada ya nyingine
Justin Bieber
Justin Bieber akiwa na boksa bstejini  bila ya kupepesa

Justin Bieber


JUSTIN BIEBER AMWAGA RADHI STEJINI JUSTIN BIEBER AMWAGA RADHI STEJINI Reviewed by crispaseve on 06:35 Rating: 5

No comments

Post AD