Header AD

PICHA ZA MAZISHI YA MCHEKESHAJI JOAN RIVERS

Joan Rivers
Joan Rivers
Mastaa na watu mbalimbali mashuhuri walijumuika na waombolezaji wengine jumapili iliyopita(Septemba 07) katika kutoa heshima zao za mwisho kwa mchekeshaji nyota, Joan Rivers aliyefariki Dunia Alhamisi mchana kwenye hospitali ya Mount Sinai mjini New York akiwa na umri wa miaka 81.
Kathy Griffin, Whoopie Goldberg, Sarah Jessica Parker na bilionea Donald Trump ni miongoni mwa mastaa waliopata nafasi ya kuhudhuria msibani na kumuaga marehemu Joan Rivers  katika jengo la Temple Emanu-El na kuzikwa kwa heshima zote kama vile alivyoagiza enzi za uhai wake.
Whoopi Goldberg
Muigizaji mkongwe, Whoopi Goldberg alikuwepo pia
Muigizaji wa kike, Sarah Jessica Parker na mumewe Matthew Broderick na Rosie O’Donnel
Allan Cumming
Muigizaji Allan Cumming akielekea kutoa heshima zake za mwisho kwa marehemu
Mtoto wa Marehemu, Melissa akiwa na kijana
Mtoto wa Marehemu, Melissa akiwa na mwanae wa kiume katika kumuaga marehemu mama yake

Mwili wa Marehemu Joan Rivers ukiwa umebebwa
Mwili wa Marehemu Joan Rivers ukiwa umebebwa
Bilionea Donald Trump akielekea kutoa heshima zake za mwisho
Bilionea Donald Trump akielekea kutoa heshima zake za mwisho
Mchekeshaji Rosie O’Donnell akiteta mawili matatu na waombolezaji
Temple
Waombolezaji wakiwa katika jengo la Temple Emanu-El wakisubiria kutoa heshima zao za mwisho
Mtangazaji wa Us Talk Show, Andy Cohen akiwasili kwenye viunga vya
Mtangazaji wa Us Talk Show, Andy Cohen akiwasili kwenye viunga vya Temple Emanu-El

Mbunifu wa mavazi, Carolina Herrera
Mbunifu wa mavazi, Carolina Herrera
article-2746849-212778D700000578-561_634x417
Kikundi cha kutumbuiza kikifanya yake msibani
Mtangazaji wa NBC, Chuck Scarborough na mkewe msibani
Mtangazaji wa NBC, Chuck Scarborough na mkewe msibani
PICHA ZA MAZISHI YA MCHEKESHAJI JOAN RIVERS PICHA ZA MAZISHI YA MCHEKESHAJI JOAN RIVERS Reviewed by crispaseve on 06:33 Rating: 5

No comments

Post AD