Header AD

Chuo Kikuu Cha Dar es Salaa (UDSM) Yakanusha Kumtunuku Mwanamuziki Mahiri Naseeb Abdul- Diamond Platnumz Shahada ya PHD


 Diamond Platnumz
---
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimekanusha ujumbe uliopo katika mitandao ya kijamii ambao unadai kuwa msanii wa kizazi kipya Naseeb Abdul maarufu kama Diamond atanukiwa Shahada ya Uzamivu ya heshima katika mahafali ya 44 yanayotarajiwa kufanyika Novemba 8.

Ujumbe huo ambao ulieleza kuwa Diamond atakabidhiwa shahada hiyo sawa na aliyekuwa mkuu wa chuo hicho marehemu Balozi Fulgence Kazaura katikati mahafali yatakayofanyika katikati ukumbi wa Mlimani City.

Akizungumzia habari hiyo, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Yunus Mgaya alisema hakuna kitu kitu kama hicho – ni uzushi.
Chuo Kikuu Cha Dar es Salaa (UDSM) Yakanusha Kumtunuku Mwanamuziki Mahiri Naseeb Abdul- Diamond Platnumz Shahada ya PHD Chuo Kikuu Cha Dar es Salaa (UDSM) Yakanusha Kumtunuku Mwanamuziki Mahiri Naseeb Abdul- Diamond Platnumz Shahada ya PHD Reviewed by crispaseve on 09:32 Rating: 5

No comments

Post AD