PICHA RASMI KUTOKA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE LEO Inbox

Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha Maombolezo
wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse
katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba
1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi
yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2, 2014

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za
mwisho na kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse
katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba
1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi
yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2, 2014

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji familia ya
marehemu wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore
Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo
Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa
mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2, 2014

Rais
Mstaafu Mhe Benjamin William Mkapa akitoa heshima za mwisho wakati wa
kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika
hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba 1, 2014
kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi
yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2, 2014

Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akifariji familia ya
marehemu wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore
Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo
Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa
mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2,2014

Waziri wa Ulinzi Dkt Hussein Mwinyi na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe
Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Marehemu
Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya
Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo
kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho
Jumapili Novemba 2, 2014

Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Mhe Benjamin
William Mkapa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein
Mwinyi, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli, Mkuu wa Majeshi
Jenerali Davis Mwamunyange na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali
Samuel Ndombe wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan
Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam
leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa
mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2,
2014.Picha na IKULU
2014.Picha na IKULU
PICHA RASMI KUTOKA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE LEO Inbox
Reviewed by crispaseve
on
06:33
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
06:33
Rating:

Post a Comment