Header AD

HIVI NDIVYO YANGA ILIVYOKUNWA GOLI 2-0 NA SIMBA ISHU YA NANI MTANI JEMBE

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwa amenyanyua juu Kombe la Ubingwa wa mechi ya Nani Mtani Jembe msimu wa pili uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba imeshinda 2-0. 
 Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Mchezo, Dk. Fenella Mukangala akimkabidhi nahodha wa Simba, Emmanuel Okwi Kombe la Ubingwa wa mechi ya Nani Mtani Jembe.
Wachezaji wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao.
 Umati wa mashabiki wa Yanga.
 Umati wa mashabiki wa Simba.
Mashabiki wa Simba wakiwa wamebeba mfano wa jeneza kuwakejeli watani zao.
 Beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro'
HIVI NDIVYO YANGA ILIVYOKUNWA GOLI 2-0 NA SIMBA ISHU YA NANI MTANI JEMBE HIVI NDIVYO YANGA ILIVYOKUNWA GOLI 2-0 NA SIMBA ISHU YA NANI MTANI JEMBE Reviewed by crispaseve on 07:58 Rating: 5

No comments

Post AD