Header AD

TRUE LOVE NEVER DIES!!! KARRUECHE ARUDIANA NA CHRIS BROWN KWA ZAWADI HII


Chris brown & Karrueche
Chris brown akimkokota mbwa wa mpenzi wake karrueche aliyeongozana nae
Chris Brown na mpenzi wake karrueche wamepigia mstari ule msemo usemao, ”True LoveS Never Dies”, baada ya kuonekana tena wakiwa pamoja na mbwa wao eneo la Beverly Hills nchini Marekani.
Awali wapenzi hao walionekana kwa mara ya kwanza wakitoka kwenye klabu moja ya usiku mjini Los Angels tangu waliporipotiwa kumwagana na kutoleana maneno ya kashfa mitandaoni kwa kile kilichotajwa kuwa ni kukosekana kwa uaminifu katika penzi lao.
Inaelezwa kurudiana kwao kunakuja kufuatia Chris brown kumnunulia pete mbili za almasi Karrueche ikiwa ni  sehemu ya kuomba msamaha na zawadi ya Christmas.
”Christmas Pup’. Could it have been another gift from Breezy? Probably”, aliandika Karrueche kwenye ukurasa wake wa Twitter siku ya Christmas na ku-post picha ya mbwa uyo.
karrueche & Chris brown
Chris na mpenzi wake Karrueche
karrueche Puppy
Mbwa wa karrueche katika pozi
Karrueche akionyesha pete mbili za almasi alizopewa na Chris Brown kama sehemu ya kuomba msamaha
Karrueche akionyesha pete mbili za almasi alizopewa na Chris Brown kama sehemu ya  msamaha
TRUE LOVE NEVER DIES!!! KARRUECHE ARUDIANA NA CHRIS BROWN KWA ZAWADI HII TRUE LOVE NEVER DIES!!! KARRUECHE ARUDIANA NA CHRIS BROWN KWA ZAWADI HII Reviewed by crispaseve on 19:01 Rating: 5

No comments

Post AD