WAFANYAKAZI WA PPF IDARA YA UENDESHAJI WAFANYA SHEREHE YA KUFUNGA MWAKA JIJINI DAR ES SALAAM JANA
Mkurugenzi
wa Idara ya Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Assumpta Maina
Mallya akifungua sherehe iliyoandaliwa na idara yake kwaajili ya
kupongezana kwa kazi za mwaka mzima, sherehe iliyofanyika katika hoteli
ya Tiffany jijini Dar Es Salaam Jana.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF kutoka idara ya Uendeshaji
wakimsikiliza Kwa Makini Mkurugenzi wa Idara hiyo wakati akifungua
Sherehe ya Kupongezana kwa Wafanyakazi wa Idara hiyo iliyofanyika katika
Hoteli ya Tiffany, Jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Assumpta Maina Mallya akikata keki
kwaajili ya Kuwarisha wafanyakazi wa Idara yake katika Sherehe ya
kufunga mwaka iliyoandaliwa na Idara ya uendeshaji na kufanyika katika
hoteli ya tiffany Jijini Dar Es Salaam.
WAFANYAKAZI WA PPF IDARA YA UENDESHAJI WAFANYA SHEREHE YA KUFUNGA MWAKA JIJINI DAR ES SALAAM JANA
Reviewed by crispaseve
on
22:33
Rating:

Post a Comment