Airtel yatangaza tano bora ya shindano la Airtel Trace Music Stars
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati
wa kutangaza majina ya washiriki walioingia 5 bora katika mashindano ya
Airtel Trace Music Stars.Kulia ni Meneja Masoko wa Airtel,Anethy Muga.
Meneja
Masoko wa Airtel Tanzania,Anethy Muga akiongea na waandishi wa habari
(hawapo pichani) wakati wa kutangaza majina ya washiriki walioingia 5
bora katika mashindano ya Airtel Trace Music Stars.Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania,Jackson Mmbando.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania,Jackson
Mmbando (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wanne
waliongia hatua ya 5 bora katika mashindano ya kuvumbua vipaji vya
muziki ya Airtel Trace Music Strars . fainali za mashindano hayo
zinategemea kufanyika mwanzoni mwa mwezi Airtel yatangaza tano bora ya
shindano la Airtel Trace Music Starswa pili.kulia ni Meneja Masoko wa
Airtel Tanzania,Anethy Muga.
Airtel yatangaza tano bora ya shindano la Airtel Trace Music Stars
Reviewed by crispaseve
on
02:08
Rating:
Post a Comment