DRAKE AANIKA GHETTO LAKE ..NISHEDAH
Drake amewaonyesha mashabiki wake ni jinsi gani
anavyouzimikia mchezo wa mpira wa kikapu baada ya kushea picha za chumba
chake kwenye mtandao wa Instagram ambacho kina goli la basketball kwa
ndani, mipira ya kuchezea na mazaazaga mengine kibao kwenye mjengo wake
uliopo jijini Los Angels nchini Marekani. Kitazame hapo chini

Muonekano wa chumba cha Drake kwa ndani
DRAKE AANIKA GHETTO LAKE ..NISHEDAH
Reviewed by crispaseve
on
22:26
Rating:


Post a Comment