Header AD

Eneo la Mbagara Jijini Dar es salaam Limekumbwa na taharuki kubwa leo baada ya Polisi kutawanya maandamano ya CUF na Kuwatia mabaroni wafuasi wake akiwemo Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba

Mfuasi wa CUF akiwa chini ya ulinzi.
Walinzi maalum wa CUF wakiwa wameimarisha ulinzi katika gari alilopanda Mwenyekiti wa chama hicho.
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akizungumza na maofisa wa Polisi.
 
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akiwapungia mkono wafuasi wake mara baada ya Polisi kuyasambaratisha  maandamano ya amani ya chama hicho yaliyokuwa na lengo la kuwakumbuka wanachama wenzao, walioteswa na kuuawa kwa kipigo cha Polisi huko Zanzibar Januari 27 mwaka 2001.  
Polisi wakizuia maandamano ya CUF katika eneo la Mtoni.Picha zote na Francis Dande
---
Polisi jijini Dar es Salaam jana walifyatua mabomu ya machozi kutawanya viongozi na wafuasi wa CUF na baadaye kumtia nguvuni Profesa Ibrahim Lipumba na wanachama 32, tukio lililosababisha Ukawa kuunganisha nguvu kuwasaidia kuandika maelezo.


Eneo la Mbagara Jijini Dar es salaam Limekumbwa na taharuki kubwa leo baada ya Polisi kutawanya maandamano ya CUF na Kuwatia mabaroni wafuasi wake akiwemo Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba Eneo la Mbagara Jijini Dar es salaam Limekumbwa na taharuki kubwa leo baada ya Polisi kutawanya maandamano ya CUF na Kuwatia mabaroni wafuasi wake akiwemo Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba Reviewed by crispaseve on 01:39 Rating: 5

No comments

Post AD