SEND OFF YA DK. NEEMA NALITOLELA ILIVYONG'ARA NA KUFANA JIJINI DAR.
Hayawi hayawi yamekuwa , Dk. Neema Nalitolela (kushoto)akiwa
katika picha ya
pamoja na mpambe wake Winne Temu (kulia) wakifurahia jambo
wakati wa sherehe ya kumuaga (Send off) iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha
Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
DK. Neema Nalitolela akikata keki wakati wa sherehe ya kumuaga
(send off ) huku
akishuhudiwa na wazazi wake
Mr &mrs Nalitolela( kushoto) na upande wa wazizi wa mmewake mtarajiwa
Mr&mrs Kabyemero( kulia) sherehe hiyo ilifanyika hivi karibuni katika
ukumbi wa Marantha Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam, Neema ni Daktari wa magonjwa ya watoto katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Dk. Neema Nalitolela akipongezana na mpambe wake Winne
Temu wakati wa sherehe ya
send off yake iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha Msimbazi
Centre jijini Dar es Salaam. Neema ni
Daktari wa magonjwa ya watoto katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Nakupemda sana naomba ukanitunze vyema ,Dk Neema Nalitolela akimkabidhi zawadi
mmewake mtarajiwa
Thomas Kabyemero zawadi wakatiwa sherehe
ya kumuaga iliyofanyika hivi hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha Msimbazi
Centre jijini Dar es Salaam.
TUDUMISHE MILA ZETU KWANZA HAPO TUTAUONA UZEE. DK.
Neema Nalitolela akiwana furaha
wakati alipomkarisha mme wake
mtarajiwa Thomas Kabyemero kumuonyesha mira na desturi za kwao za Wayao
wakati wa sherehe ya kumuaga send off iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha
Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam
SEND OFF YA DK. NEEMA NALITOLELA ILIVYONG'ARA NA KUFANA JIJINI DAR.
Reviewed by crispaseve
on
01:44
Rating:
Post a Comment