PICHA ZA KILICHOJIRI KWENYE TAMASHA LA TIGO KIBOKO YAO VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR
Wasanii nyota wa Bongo Fleva wapatao 18 waliweza
kukutanishwa katika jukwaa moja kwenye tamasha lililopewa jina la Tigo
Kiboko yao ambalo liliandaliwa na kampuni ya Tigo na kuzinduliwa na
Waziri wa Habari wa michezo na utamaduni mheshimiwa Dr Fenela Mukangara
kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam wikiendi iliyopita.
Wasanii waliotoa burudani ni pamoja na Diamond, Ali Kiba, AY, Mwana FA, Professor Jay, Weusi, Shaa, Vanessa Mdee, Jux, Izzo Bizness, Fid Q na wengineo katika show iliyohudhuriwa na umati mkubwa wa wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake, Fanya kutazama picha za kilichojiri hapo chini kuanzia Red Carpet, Backstage mpaka jukwaani.
Wasanii waliotoa burudani ni pamoja na Diamond, Ali Kiba, AY, Mwana FA, Professor Jay, Weusi, Shaa, Vanessa Mdee, Jux, Izzo Bizness, Fid Q na wengineo katika show iliyohudhuriwa na umati mkubwa wa wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake, Fanya kutazama picha za kilichojiri hapo chini kuanzia Red Carpet, Backstage mpaka jukwaani.
PICHA ZA KILICHOJIRI KWENYE TAMASHA LA TIGO KIBOKO YAO VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR
Reviewed by crispaseve
on
01:53
Rating:
Post a Comment