KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN ATINGA JIMBO LA MTAMBWE ALIKOZALIWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA WANANCHI -CUF MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD WA CUF, AZINDUA MIRADI YA UMEME, MAJI
uzinduzi wa uwekaji nguzo za umeme katika Kijiji cha Chanjaani, Jimbo la Mtambwe, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Zanzibar leo. Jimbo hilo ndilo alikozaliwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad
Kinana akipata maelezo kuhusu zao la karafuu alipokwenda kuona
ununuzi wa Karafuu katika Ghala la
Serikali la ZSTC, wilayani Wete
leo.Kushoto ni Mkulima wa zao hilo na Issa Hassan ambaye ni Meneja
Utawala wa ZSTC.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akishiriki ujenzi wa Jengo la Ofisi za CCM Tawi la Bopwe, mjini Wete |
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiweka kifaa cha umeme kwenye
transfoma wakati wa uzinduzi wa uwekaji nguzo za umeme katika Kijiji cha
Chanjaani, Jimbo la Mtambwe, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba,
wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya
maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Zanzibar
Komredi
Kinana akihutubia katika mkutano wa halmashauri Kuu ya Wilaya ya Wete,
ambapo alisomewa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mkoa wa
Kaskazini Pemba na wilaya hiyo.
KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN ATINGA JIMBO LA MTAMBWE ALIKOZALIWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA WANANCHI -CUF MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD WA CUF, AZINDUA MIRADI YA UMEME, MAJI
Reviewed by crispaseve
on
08:16
Rating:
Post a Comment