KICHUPA KIPYA ; CHRIS BROWN FEAT. KENDRICK LAMAR – AUTUMN LEAVES [official Video]
Safari hii Chris Brown ameamua
kutupilia mbali mambo ya swaga na kuuvaa uhusika wa tamaduni za watu wa
bara la Asia katika video yake mpya ya Autumn Leaves, ambapo mpenzi wake
Karrueche Tran amecheza kama starring wa kichupa hicho.
Katika video hiyo, Rapa Kendrick
Lamar hakuweza kuonekana licha ya kupewa shavu katika ngoma hiyo ambayo
inapatikana katika Albamu ya Chris Brown ‘X’ ambayo pia imepata shavu la
kuchaguliwa kuwania tuzo za Grammy kwa mwaka huu katika kipengele cha
Best Urban Contemporary Albam. Itazame hapo chini
KICHUPA KIPYA ; CHRIS BROWN FEAT. KENDRICK LAMAR – AUTUMN LEAVES [official Video]
Reviewed by crispaseve
on
01:36
Rating:
Post a Comment