Header AD

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALLY IDD AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA CBE


 Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema (wa pili kutoka kulia) akimtambulisha viongozi wa chuo cha CBE ,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif AllyIdd (katikati) jana jijini Dar es salaam wakati wa maadhimisho ya chuo hicho kutimiza miaka 50. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akipata maelezo kutoka kwa  Bi. Esther Kibua, mwanafunzi wa mwaka wa 3 wa chuo cha Elimu ya Biashara CBE kampasi ya Dar es salaam juu ya namna chuo hicho kinavyowaandaa kuitumia elimu wanayoipata chuoni hapo pindi watakapomaliza masomo yao.
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALLY IDD AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA CBE  MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALLY IDD AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA CBE Reviewed by crispaseve on 00:07 Rating: 5

No comments

Post AD