RAPA KEVIN GATES ACHEZEA VITASA BAADA YA KUMKISS MCHUMBA WA MTU
Hitmaker
wa I Don’t Get Tired, Kevin Gates amejikuta akirushiwa konde zito la
uso baada ya kumkiss shabiki wake wa kike ambae alikuwa ameongonaza na
jamaa yake.
Kwa mujibu wa video ya tukio hilo
inamuonyesha Rapa huyo wa Chiraq akirushiwa ngumi ya ghafla na mwenye
mali kabla ya mabaunsa wake kuingilia kati katika show yake hivi
karibuni.
Awali Gates aliwahi kunukuliwa
akisema kuwa anapenda kufanya mapenzi kwa njia ya mdogo katika moja ya
interview alizofanyiwa na Revolt Tv na huenda hiyo ikawa ni sababu
mojawapo ya mwenye mali kutohafiki kitendo chake hicho. Tazama
ilivyokuwa hapo chini
RAPA KEVIN GATES ACHEZEA VITASA BAADA YA KUMKISS MCHUMBA WA MTU
Reviewed by crispaseve
on
02:43
Rating:

Post a Comment