NIKKI MBISHI AMJIBU NAY WA MITEGO KWA FREESTYLE…ISIKILIZE HAPA
Rapa wa Tamaduni Muzik, Nikki
Mbishi amemjibu Nay wa mitego kupitia freestyle ya dakika moja ambayo
ameiachia hewani kufuatia hitmaker uyo wa Nakula ujana kumwambia
amechelewa kuacha muziki.
Wiki
moja iliyopita Mbishi alitangaza kuacha muziki kupitia akaunti yake
ya Twitter hali iliyopelekea baadhi ya wasanii wenzake kumtaka arudi
kwenye gemu akiwemo Professor Jay.
Katika Freestyle iyo Nikki Mbishi anasikika akisema, ”Hapa ndio place to be, hakuna kusanda kukaza mpaka A to Z, unaongelea Akadumba, who is Nay to me?”, Isikilize Freestyle hiyo hapo chini
NIKKI MBISHI AMJIBU NAY WA MITEGO KWA FREESTYLE…ISIKILIZE HAPA
Reviewed by crispaseve
on
02:41
Rating:

Post a Comment