Timu ya Arsenal yafanya mazungumzo na Kampuni ya TTCL
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu
duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) akipokea zawadi kutoka Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL) iliyokabidhiwa na Meneja wa Masoko na Usambazaji wa
TTCL, Robart Noel kabla ya kuanza mazungumzo ya kibiashara kati ya
pande hizo mbili
Kutoka kushoto ni Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya
TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya
mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya
Arsenal, Dam Stone wakiwasili kwa mazungumzo na wanahabari kabla ya
kuanza kikao cha mazungumzo kibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal
leo jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu
duniani ya Arsenal, Daniel Willey (katikati) akizungumza jambo na
wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ya kibiashara kati ya
TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya
Arsenal, Dam Stone (kulia) na Meneja Masoko na Usambazaji Kampuni ya
Simu ya TTCL, Robart Noel (kushoto).
Timu ya Arsenal yafanya mazungumzo na Kampuni ya TTCL
Reviewed by crispaseve
on
06:06
Rating:
Post a Comment