Waziri WA fedha Saada afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo na Mtaa wa Namanga
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (wa pili
kulia) akiongoza na viongozi wa mkoa wa kodi wa Ilala kutoka Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA) pamoja na maafisa wa Serikali alipofanya ziara ya kushtukiza leo
jijini Dar es salaam katika soko la Kariakoo kujionea namna wafanyabiashara
wanavyozingatia na kusimamia matumizi ya mashine za kielektroniki za EFD ambazo
wanazopaswa kuzitumia mara wanapouza bidhaa zao ili kusaidia Serikali kukusanya
mapato na kuboresha utoaji wa huduma za jamii nchini. Wa kwanza kulia ni Kaimu
Msaidizi wa Meneja wa mkoa wa kodi wa Ilala kutoka TRA Hamidu Athmani, wa
kwanza kushoto ni Kaimu Meneja wa mkoa wa kodi wa Ilala Elias Balongo na
kushoto mwa Waziri ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof. Adolf Mkenda.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof. Adolf Mkenda (wa kwanza kushoto) akiteta
jambo na Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (wa pili kushoto) katika ziara ya
kushtukiza katika soko la Kariakoo kujionea namna wafanyabiashara
wanavyozingatia na kusimamia matumizi ya mashine za kielektroniki za EFD ambazo
wanazopaswa kuzitumia mara wanapouza bidhaa zao ili kusaidia Serikali kukusanya
mapato na kuboresha utoaji wa huduma za jamii nchini. Aliyevaa tai kulia ni wa
kwanza kulia ni Kaimu Msaidizi wa Meneja wa mkoa wa kodi wa Ilala kutoka TRA
Hamidu Athmani.
.
Wananchi wakifuatilia ziara ya kushtukiza ya Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum
aliyofanya leo jijini Dar es salaam katika soko la Kariakoo kujionea namna
wafanyabiashara wanavyozingatia na kusimamia matumizi ya mashine za
kielektroniki za EFD ambazo wanazopaswa kuzitumia mara wanapouza bidhaa zao ili
kusaidia Serikali kukusanya mapato na kuboresha utoaji wa huduma za jamii
nchini.
(Picha
na Eleuteri Mangi- MAELEZO)
Waziri WA fedha Saada afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo na Mtaa wa Namanga
Reviewed by crispaseve
on
03:23
Rating:
Post a Comment