KAMATI YA MASUALA YA UKIMWI NA MADAWA YA KULEVYA YAJADILI MUSWADA WA SHERIA YA USIMAMIZI NA UDHIBITI WA DAWA ZA KULEVYA YA MWAKA 2014
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na
Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya
Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na
Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015
katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wajumbe toka Taasisi mbalimbali wakifuatilia kwa makini kikao cha
Kamati ya masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kilichofanyika katika
Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam kuhusu Muswada wa Sheria
ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014.
Baadhi
ya wajumbe toka Taasisi mbalimbali wakifuatilia kwa makini kikao cha
Kamati ya masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kilichofanyika katika
Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam kuhusu Muswada wa Sheria
ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014.
KAMATI YA MASUALA YA UKIMWI NA MADAWA YA KULEVYA YAJADILI MUSWADA WA SHERIA YA USIMAMIZI NA UDHIBITI WA DAWA ZA KULEVYA YA MWAKA 2014
Reviewed by crispaseve
on
03:21
Rating:
Post a Comment