BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA TANI 8.5 ZA DAWA NA VYAKULA.
Wafanyakazi
wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakiteremsha baadhi ya
maboksi ya dawa mbalimbali, vipodozi, mchele, na tende zilizoharibika
kwaajili ya kuviangamizwa.
Maboksi ya dawa yaliomaliza muda wake yakiangamizwa kwa kuchomwa moto katika eneo la kibele Wilaya Kati Unguja.
Mchele
ulioingia nchini ambao haufai kwa matumizi ya binaadam na tende
vikiangamizwa kwa kuchomwa moto kijiji cha kibele Wilaya Kati Unguja.
Mafisa wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakisimamia zoezi la uteketezaji wa dawa, vipodozi, mchele, na tende ambavyo vitu vyote hivyo havifai kwa matumizi ya binadam.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA TANI 8.5 ZA DAWA NA VYAKULA.
Reviewed by crispaseve
on
01:55
Rating:

Post a Comment