CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI CHATOA TAMKO KUHUSU SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 ILIYOZINDULIWA NA RAIS JAKAYA
Mwenyekiti
wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Taifa, James Mbatia (kulia), akionesha
kitabu cha Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 wakati akizungumza
katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati
akitoa tamko la chama hicho juu sera hiyo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa
chama hicho, Mosene Nyambabe na kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Zanzibar,
Musa Kombo Musa.
Naibu
Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Zanzibar, Musa Kombo Musa
(kulia), akimkaribisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia
(katikati), ili azungumze na wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi wakati
akitoa tamko hilo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Mosene
Nyambabe.
Hapa mkutano na waandishi wa habari ukiendelea.
CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI CHATOA TAMKO KUHUSU SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 ILIYOZINDULIWA NA RAIS JAKAYA
Reviewed by crispaseve
on
08:19
Rating:
Post a Comment