MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAWEKEZAJI WA SEKTA YA UTALII ZANZIBAR (ZATI) WAFANYIKA MJINI UNGUJA.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Jumuiya ya wawekezaji wa sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI)
Bi. Pamela Mattheuu (aliesimama) akielezea hali ya Utalii ilivyo kwa
sasa na kupanga mikakati ya kuitangaza zaidi sekta hiyo, huko Hoteli ya
Double Tree by Hilton Shangani Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti
Mstaafu wa Jumuiya ya wawekezaji wa sekta ya Utalii Zanzibar Nd.
Abdulsamad Said akizungumza na wanachama kuhusu mafanikio na changamoto
zinazokabil sekta ya Utalii nchini katika Mkutano Mkuu uliofanyika
Hoteli ya Double Tree by Hilton Shangani Mjini Zanzibar.
Naibu
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdulla Juma (Mabodi)
akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya wawekezaji wa sekta ya Utalii
Zanzibar (ZATI) katika Hoteli ya Double Tree by Hilton Shangani Mjini
Zanzibar. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Baadhi
ya wanachama wa Jumuiya hiyo wakimsikiliza mgeni rasmin Naibu Waziri wa
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdulla Juma (Mabodi) kayupo
pichani alipokuwa akifungua mkutano huo.
Mmoja
wa wanachama wa ZATI Simai Mohamed Saidi akiuliza suali katika Mkutano
huo uliofanyika Double Tree by Hilton Shangani Mjini Zanzibar.
Naibu
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdulla Juma (Mabodi)
wakatikati katika picha ya pamoja na Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya ya
(ZATI) Abdulsamad Said (kulia) na kushoto Makamu wake mstaafu Boby
Mckena. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAWEKEZAJI WA SEKTA YA UTALII ZANZIBAR (ZATI) WAFANYIKA MJINI UNGUJA.
Reviewed by crispaseve
on
08:15
Rating:
Post a Comment