HII NDIO LE PROJEKTI MPYA YA WEMA SEPETU NA OMMY DIMPOZ
Projekti mpya inayoendelea kati ya diva wa kiwanda cha
filamu Bongo, Wema Sepetu na Ommy Dimpoz imewaweka njia panda mashabiki
wao baada ya wawili hao kushea picha kwenye akaunti zao Instagram wakiwa
pamoja katika maeneo tata kama vile chumbani n.k
Inaelezwa kwamba Ommy Dimpoz alikwea pipa na mwanadafada
Sepetunga mpaka nchini Afrika kusini kwa kile kilichotajwa kuwa ni kwa
ajili ya shughuli za kimuziki hata hivyo ukaribu wa mastaa umezua
minong’ono mingi na kupelekea kuhamsha hisia huenda wawili wameamua kuwa
kitu kimoja yaani wapenzi. Watazame hapo chini
HII NDIO LE PROJEKTI MPYA YA WEMA SEPETU NA OMMY DIMPOZ
Reviewed by crispaseve
on
04:51
Rating:
Post a Comment