SNOOP DOGG AZIPONDA TUZO ZA GRAMMY
Nguli
wa muziki wa Hip-Hop Marekani, Snoop Dogg ameziponda tuzo za Grammy na
kusema zimekuwa na upendeleo kwa wazungu na kuwapa visogo marapa mahiri
weusi wanaofanya vizuri katika gemu la muziki huo.Akimtolea mfano Rapa mzungu ‘Macklemore’ mwenye tuzo nne za Grammy akiwa amewazidi marapa wenye uwezo zaidi yake ambao hawakuwahi kutwaa ama si kuchaguliwa kuwania Tuzo hizo kama vile Tupac, Notorious B.I.G, DMX, Busta Rhymes, Rick Ross, Run-D.M.C, Kendrick Lamar, Public Enemy na yeye mwenyewe.
”F*#k the Grammys we need a hip hop show for real niggaz. n real mcs,” alipasua Snoop katika ukurasa wake wa Instagram na ku-post picha ya Macklemore akiwa amezungukwa na ma-emcee aliowataja.

Katika kupigia msumari juu ya kidonda, Rapa wa West Coast
‘Y.G’ amemuunga mkono Snoop baada ya albamu yake ya My Krazy Life
kutoswa kuwania tuzo hizo katika vipengele vyote vya albamu licha ya
kufanya vizuri zaidi sokoni na kwenye kumbi mbalimbali za starehe.
”Still trippin off the fact I ain’t get nominated for BEST RAP ALBUM, they keep its POLITIKS NIGGA F#K THE POLITIKS”, aliandika Y.G kwenye ukurasa wake wa Twitter akizifananisha tuzo hizo na siasa.
Marapa hao wameungwa mkono na mkali wa miondoko ya R&B,
Trey Songz ambaye nae ameonyesha kusikitishwa kwa kitendo cha albamu
yake ya Trigga yenye nyimbo kama vile Nana, Touchin Lovin na What’s Best
For You kutochaguliwa kuwania tuzo hizo.
Kwa mara ya kwanza katika tuzo hizo zilizotolewa wikiendi
iliyopita, Rapa Kendrick lamar amefanikiwa kutwaa Tuzo mbili ya Best Rap
Perfomance na Best Rap Song. Tazama orodha nzima ya washindi wa Tuzo
hizo hapo chini
Album of the Year
*Beck, Morning Phase
Best New Artist
*Sam Smith
Best R&B Performance
*”Drunk In Love,” BeyoncĂ© ft. Jay Z
Best Rock Album
*Morning Phase, Beck
Best Pop Solo Performance
*”Happy,” Pharrell Williams
Best Country Album
*Platinum, Miranda Lambert
Best Pop Vocal Album
*In the Lonely Hour, Sam Smith
Record of the Year
*”Stay With Me (Darkchild Version),” Sam Smith
Song of the Year
*”Stay With Me (Darkchild Version),” Sam Smith
*”Stay With Me (Darkchild Version),” Sam Smith
Best Rap Album
*The Marshall Mathers LP2, Eminem
Best Pop Duo/Group Performance
*”Say Something,” A Great Big World ft. Christina Aguilera
Best Rap Performance
*”i,” Kendrick Lamar
Best Alternative Music Album
*St. Vincent, St. Vincent
Best Rock Song
*”Ain’t It Fun,” Paramore
Best Rap/Sung Collaboration
*”The Monster,” Eminem ft. Rihanna
Best Rap Song
*”i,” Kendrick Lamar
Best Country Song
*”I’m Not Gonna Miss You,” Glen Campbell
Best Country Duo/Group Performance
“Gentle On My Mind,” The Band Perry
Best Country Solo Performance
“Something In the Water,” Carrie Underwood
Best Urban Contemporary Album
G I R L, Pharrell Williams
Best Dance/Electronic Album
Syro, Aphex Twin
Best Dance Recording
“Rather Be,” Clean Bandit ft. Jess Glynne
Best Latin Pop Album
Tangos, Ruben Blades
Best Compilation Soundtrack for Visual Media
Frozen
Best Music Video
“Happy,” Pharrell Williams
Best Music Film
20 Feet From Stardom, Darlene Love, Merry Clayton, Lisa Fischer & Judith Hill
Best Reggae Album
Fly Rasta, Ziggy Marley
Best Traditional Pop Vocal Album
Cheek to Cheek, Lady Gaga & Tony Bennett
Best Americana Album
The River & The Thread, Rosanne Cash
Best Spoken Word Album
Diary of a Mad Diva, Joan Rivers
Best Gospel Album
Help, Erica Campbell
Best Rock Performance
“Lazaretto,” Jack White
Best Metal Performance
“The Last In Line,” Tenacious D
Best R&B Song
“Drunk In Love,” Beyonce ft. Jay Z
Best R&B Album
Love, Marriage & Divorce, Toni Braxton & Babyface
SNOOP DOGG AZIPONDA TUZO ZA GRAMMY
Reviewed by crispaseve
on
04:55
Rating:

Post a Comment