INASHANGAZA...AAMUA KUMN'GATA ULIMI MTU ALIYEMBAKA ILI KUPELEKA USHAHIDI POLISI.
Mara
ya kwanza mwanamke huyu alipatwa na tukio kama hili miaka kumi
iliyopita, alipoenda kuripoti tukio hilo Polisi mtuhumiwa wa kosa la
kumuingilia kwa nguvu mwanamke huyu ilishindikana kukamatwa kutokana na
kukosekana kwa ushahidi.
INASHANGAZA...AAMUA KUMN'GATA ULIMI MTU ALIYEMBAKA ILI KUPELEKA USHAHIDI POLISI.
Reviewed by crispaseve
on
05:48
Rating:
Post a Comment