YAMOTO BAND WATEMBELEA ZURII HOUSE OF BEAUTY NA KUKABIDHIWA TICKET ZAO TAYARI KWA SAFARI YA KUELEKEA LONDON
Kutoka kushoto Enock,
Maromboso, Beka na Aslay wakiwa wameshikilia ticket zao za ndege
ambazo walikabidhiwa rasmi na mkurugenzi wa Zurii house of Beauty
Jestina George Meru.
Yamoto
Band wanatarijiwa kufanya Live show kwenye jiji London siku ya tarehe
21.02.2015 katika ukumbi wa Royal Regency Banguet Hall
Zuri House of Beauty CEO Jestina George Meru akiwa kwenye picha ya pamoja na timu nzima ya Yamoto Band
Kama kawaida Ukitembelea Zurii House of Beauty huondoki mkono mtupu
UK
na Europe yote Siku ya Jumamosi tarehe 21 Feb 2015 tukutane pale kwenye
ukumbi wa Royal Regency Manor Park London Kwani Hiyo ndio sehemu pekee
kwenye jiji la London utapopata Burudani ya kukata na shoka kutoka kwa
No1 band ya Tanzania Hakuna wengine ni wale wale vijana wetu wanne
machachari wanaoitikisha East Africa sasa hivi YAMOTO BAND aka MKUBWA na
WANAWE. Tickets are on sale now Standard ticket £25, VIP £35 kama
unahitaji Meza ya watu 10 basi wasiliana nasi kwenye number hizi 07853482158 @bongodeejays or whatsapp +447557304940
Also if you are in
Northampton,you can get your tickets
Kass's Grill 01604621567/07527283219
And for people in Milton Keynes you can Get your tickets by
Calling Cobby ...07448416240 London Chris Chagula 07405889880 /Hakim 07931 526622
VjOj on 07940 679201and Exposed Uganda on 07931 119346
YAMOTO BAND WATEMBELEA ZURII HOUSE OF BEAUTY NA KUKABIDHIWA TICKET ZAO TAYARI KWA SAFARI YA KUELEKEA LONDON
Reviewed by crispaseve
on
05:40
Rating:
Post a Comment