Header AD

JAJI KIONGOZI ATOA SOMO KWA WATUMISHI WA MAHAKAMA, VYAMA VYA WAAJIRI NA WAAJIRIWA.


JA1
Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akifungua mkutano maalum wa watendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Chama cha waajiri Tanzania (ATE) na Wafanyakazi (TUCTA) leo jijini Dar es salaam. Mkutano huo unalenga kuangalia na kutafuta majibu ya changamoto mbalimbali zinazohusu maslahi ya wafanyakazi na mashauri yanayopelekwa mahakama Kuu Divisheni ya Kazi nchini.
JA2
Baadhi ya washiriki wa mkutano maalum wa watendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Chama cha waajiri Tanzania (ATE) na Wafanyakazi (TUCTA) wakifuatilia masuala mbalimbali leo jijini Dar es salaam.
JA3
Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua mkutano maalum wa watendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Chama cha waajiri Tanzania (ATE) na Wafanyakazi (TUCTA) leo jijini Dar es salaam
JAJI KIONGOZI ATOA SOMO KWA WATUMISHI WA MAHAKAMA, VYAMA VYA WAAJIRI NA WAAJIRIWA. JAJI KIONGOZI ATOA SOMO KWA WATUMISHI WA MAHAKAMA, VYAMA VYA WAAJIRI NA WAAJIRIWA. Reviewed by crispaseve on 14:20 Rating: 5

No comments

Post AD