KIPINDI CHA “JICHO LETU MKURANGA” CHA REDIO UPENDO CHASAIDIA JAMII YA WENYE MAHITAJI MUHIMU MKURANGA
Ibrahim Mwangalaba Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo PLC
akitoa shukurani zake kwa wageni mbalimbali mara baada ya kukabidhi
madawati na vifaa mbalimbali vya shule kwa mkuu wa wilaya ya Mkuranga.
Nang’ida
Johanes Lairumbe Mkurugenzi wa Upendo Media akitoa utambulisho kwa
viongozi mbalimbali waliofika katika hafla hiyo ya makabidhiano
iliyofanyika katika jengo la Luther House jijini Dar es salaam, Kutoka
kulia ni Frank Mbando Mkurugenzi wa Kampuni ya FIFA Flow Traidinga, Mchungaji Chedie Lwiza ambaye ni msaidizi wa Dr. Alex Malasusa Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani na Ibrahim Mwangalaba Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo .
Mchungaji Chedie Lwiza ambaye ni msaidizi wa Dr. Alex Malasusa Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani
akitoa shukurani zake kwa Benki ya Maendeleo na Kampuni ya FIFA Flow
Traiding kwa msaada wa madawati na vifaa mbalimbali vya shule
walivyovitoa kwa wilaya ya Mkuranga.
Picha ya pamoja viongozi hao wakiwa wamekaa kwenye madawati yaliyokabidhiwa kwa wilaya ya Mkuranga
KIPINDI CHA “JICHO LETU MKURANGA” CHA REDIO UPENDO CHASAIDIA JAMII YA WENYE MAHITAJI MUHIMU MKURANGA
Reviewed by crispaseve
on
14:22
Rating:

Post a Comment