Header AD

JUX BADO UNABISHA UHUSIANO WAKO NA VANESSA

BAADA ya kukataa mara kwa mara juu ya uhusiano wao wa kimapenzi, hatimaye wasanii Juma Mussa ‘Jux’ na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ juzikati walikutwa katika mkao wa kimahaba kiasi cha kuwafanya mashabiki kujiuliza kama mkali huyo wa kibao cha Uzuri wako anaweza kuendelea kubisha.
JUX BADO UNABISHA UHUSIANO WAKO NA VANESSA JUX BADO UNABISHA UHUSIANO WAKO NA VANESSA Reviewed by crispaseve on 02:08 Rating: 5

No comments

Post AD