Header AD

ICHA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS -IKULU:MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM KWENYE MAZISHI YA FAMILIA YA KAPTEN DAVID MPILA,WALIOFARIKI KWA KUTEKETEA KWA MOTO NDANI YA NYUMBA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Familia ya marehemu Kapten David Mpila, waliofariki kwa kuteketea na moto ndani ya nyumba yao huko Kipunguni jijini Dar es Salaam. Makamu wa rais aliongoza maziko ya familia hiyo wakati wa mazishi yao yaliyofanyika jana Februari 10/2015 katika makaburi ya Airwing Ukonga.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiweka shada la maua kwenye makaburi ya familia ya marehemu Kapten David Mpila aliyefariki kwa kuteketea na moto.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimfariji mama mzazi wa marehemu bibi Celina Mpila mke wa marehem Kapten David Mpila waliofariki kwa kuteketea na moto, wakati wa mazishi yao yaliyofanyika jana katika makaburi ya Airwing Ukonga Dar es s
ICHA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS -IKULU:MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM KWENYE MAZISHI YA FAMILIA YA KAPTEN DAVID MPILA,WALIOFARIKI KWA KUTEKETEA KWA MOTO NDANI YA NYUMBA ICHA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS -IKULU:MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM KWENYE MAZISHI YA FAMILIA YA KAPTEN DAVID MPILA,WALIOFARIKI KWA KUTEKETEA KWA MOTO NDANI YA NYUMBA Reviewed by crispaseve on 01:52 Rating: 5

No comments

Post AD