MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE SHEREHE YA MAULID YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) HUKO WETE-PEMBA
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume
huko Pemba na kupokewa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Ndugu Mwanajuma
Majid Abdalla tarehe 20.2.2015. Mama Salma alialikwa Pemba kama Mgeni
Rasmi kwenye sherehe ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W)
iliyoandaliwa na Al-Madrasat Jabal- Hiraa.PICHA NA JOHN LUKUWI
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali
waliofika kumpokea wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Karume
huko Pemba kwa ziara ya kikazi ya siku moja kisiwani humo tarehe
20.2.2015.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa rasmi kwa kuvishwa shada na
wasichana wa Almadrsat Jabal-Hiraa mara baada ya kuwasili kwenye viwanja
vya Shule ya Utaani huko Wete Pemba ilikofanyika sherehe ya Maulid ya
kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) ambapo Mama Salma Kikwete alikuwa mgeni
rasmi tarehe 20.2.2015.
Mamia ya wananchi waliohudhuria sherehe ya Maulid ya kuzaliwa Mtume
Muhammad (S.A.W) kwenye Shule ya Utaani huko Wete Pemba wakisikiliza
hotuba ya Mgeni Rasmi Mama Salma Kikwete (hayupo pichani) aliyokuwa
akitoa wa viongozi na wananchi waliohudhuria sherehe hizo tarehe
20.2.2015.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa nasaha zake kwenye Maulid ya Kuzaliwa
Mtume Muhammad (S.A.W) iliyofanyika kwenye Shule ya Utaani huko Wete
katika Mkoa wa Kaskazini Pemba huku mamia ya watu wakimsikiliza. Mama
Salma alikuwa Mgeni rasmi kwenye sherehe hiyo iliyofanyika tarehe
20.2.2015.
MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE SHEREHE YA MAULID YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) HUKO WETE-PEMBA
Reviewed by crispaseve
on
01:31
Rating:

Post a Comment