TAMASHA LA PASAKA KUTIMIZA MIAKA 15 KWA KISHINDO,KUHUSISHA SHUGHULI MBALIMBALI ZA KIJAMII
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotions Ltd,Bwa Alex Msama akifafanua zaidi kwa
Wanahabari kuhusiana na tamasha hilo ambalo mwaka huu linatimiza miaka
15 tangu kuanzishwa kwake.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex
Msama amezungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo
kinondoni
Moroco hapo jana,kuhusiana na maandalizi ya tamasha hilo kwa mwaka huu,
Msama amesema tamasha hilo mwaka huu pamoja na kuwepo waimbaji wa muziki
wa
injili mbalimbali kutoka hapa nchini na nje ya nchi pia itahusisha
michezo mbalimbali ikiwa pia ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 15 toka
kuanzishwa
kwa tamasha hilo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakichukua taarifa ya Bw. Alex Msama.
TAMASHA LA PASAKA KUTIMIZA MIAKA 15 KWA KISHINDO,KUHUSISHA SHUGHULI MBALIMBALI ZA KIJAMII
Reviewed by crispaseve
on
07:27
Rating:
Post a Comment