Header AD

wengi washiriki kwenye mashizi ya mke wa john kitime kwenye makaburi ya kinondoni,jijini dar leo

 Umati wa waombolezaji ulioshiriki kwenye mazishi ya Mke wa Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,Bw. John Kitime,Marehemu Janeth Joan Chidosa Kitime alizikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam.
Taratibu za mazishi zikiendelea kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam leo.
 Mume wa  Marehemu Janeth Joan Chidosa Kitime,Bw. John Kitime akitoka kuweka shada la maua kwenye kaburi la mkewe wakati wa mazishi yaliyofanyika jioni hii kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam.
Watoto wa Marehemu wakielekea kuweka shada la maua kwenye kaburi la Mama yao.
 Mfiwa Bw. John Kitime katikati akiwa na Watoto zake mara baada ya Mazishi kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam
wengi washiriki kwenye mashizi ya mke wa john kitime kwenye makaburi ya kinondoni,jijini dar leo wengi washiriki kwenye mashizi ya mke wa john kitime kwenye makaburi ya kinondoni,jijini dar leo Reviewed by crispaseve on 07:25 Rating: 5

No comments

Post AD