WAZIRI MKUU PINDA AKAGUA DAWATI LA BEI NAFUU NA IMARA
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua dawati lenye ubora uliothibitishwa na
Shirika la Viwango Tanzania lililouiniwa na kutengenezwa na Kampuni ya
EDOSAMA HARDWARE ya jijini Dar es salaam, ofisini kwake Februari 16,
2015. Dawati hilo linalotengenezwa kwa mbao laini ambazo zimebanwa bila
kutumia misumari linakadiriwa kugharimu sh. 80,000/=. Wengine pichani
kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Eric Shigogo, Mkuu wa
Idara ya Mikopo ya Benki ya TIB, Masanja Kungu, Ofisa Mazingira, Daniel
Kapakala na Mkurugrnzi Msaidizi wa Kampuni hiyo,Edward Saguda.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua dawati lenye ubora uliothibitishwa na
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lililobuniwa na kutengenezwa na
Kampuni ya EDOSAMA HARDWARE ya jijini Dar es salaam. Dawati hilo
linalotengenezwa kwa mbao laini ambazo zimebanwa bila kutumia misumari
linakadiriwa kugharimu sh. 80,000/=. Wengine pichani kutoka kushoto ni
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Eric Shigogo, Mkuu wa Idara ya Mikopo ya
Benki ya TIB, Masanja Kungu, Ofisa Mazingira, Daniel Kapakala na
Mkurugrnzi Msaidizi wa Kampuni hiyo,Edward Saguda.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua dawati lenye ubora uliothibitishwa na
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lililobuniwa na kutengenezwa na
Kampuni ya EDOSAMA HARDWARE ya jijini Dar es salaam. Dawati hilo
linalotengenezwa kwa mbao laini ambazo zimebanwa bila kutumia misumari
linakadiriwa kugharimu sh. 80,000/=. Wengine pichani kutoka kushoto ni
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Eric Shigogo, Mkuu wa Idara ya Mikopo ya
Benki ya TIB, Masanja Kungu, na Mkurugrnzi Msaidizi wa Kampuni
hiyo,Edward Saguda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI MKUU PINDA AKAGUA DAWATI LA BEI NAFUU NA IMARA
Reviewed by crispaseve
on
01:31
Rating:
Post a Comment