KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR CHA ANDAA MAFUNZO YA HAKI ZA BINAADAM NA SHERIA ZA WANDISHI WA HABARI UNGUJA
Mwenyekiti
wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Zanzibar Bi. Maryam Hamdani
akifungua mafunzo ya siku mbili ya waandishi wa habari kuhusu Haki za
binaadamu na sheria za waandishi wa Habari katika kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar kiliopo Migombani.
Kamishna
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mohd Khamis akiwasilisha mada
ya Chimbuko, Historia na Maendeleo ya Haki za Binadamu Kimataifa,
Kikanda na Tanzania katika mafunzo ya waandishi wa Habari yaliyofanyika
Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Migombani.
Mwenyekiti wa mafunzo hayo Salma Saidi akitoa muongozi kwa washiriki wa mafunzo hayo.
KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR CHA ANDAA MAFUNZO YA HAKI ZA BINAADAM NA SHERIA ZA WANDISHI WA HABARI UNGUJA
Reviewed by crispaseve
on
09:47
Rating:
Post a Comment