MJADALA WA BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAFANYIKA DAR ES SALAAM
Katibu
wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Makamu wa Rais, Bwana Isaya Kisiri
(wa pili kushoto), Katibu Msaidizi wa Baraza hilo, Bi Martha Tupa (wa
kwanza kushoto), Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bwana Sazi Salula
na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi Angelina Madete
wakifuatilia kwa umakini mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais
katika Ukumbi wa Hazina jijini Dar es Salaam, leo.( Picha na OMR)
Katibu
wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Makamu wa Rais, Bwana Isaya Kisiri
(kulia), akisikiliza kwa umakini mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Makamu
wa Rais katika Ukumbi wa mikutano wa Hazina jijini Dar es Salaam, leo.
Katikati ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bwana Sazi Salula na wa
kwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Bi Angelina Madete.
MJADALA WA BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAFANYIKA DAR ES SALAAM
Reviewed by crispaseve
on
10:51
Rating:

Post a Comment