Header AD

NJOO TUSHEHEREKEE MEI MOSI PAMOJA NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHATHAI VILLAGE, MASAKI‏

DSC_0265
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower(wa kwanza kushoto) akiendelea kutoa burudani ya nguvu huku msanii mwenzake Sony Masamba akiendlea kuzirundi ngoma ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Usikose leo kwenye shoo yao maana kuna vitu vingi vipya.
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiimba sambamba na msanii mwenzake Sam Mapenzi uku wakisindindikizwa na dada mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni Ashura Kitenge(wa kwanza kushoto)
NJOO TUSHEHEREKEE MEI MOSI PAMOJA NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHATHAI VILLAGE, MASAKI‏ NJOO TUSHEHEREKEE MEI MOSI PAMOJA NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHATHAI VILLAGE, MASAKI‏ Reviewed by crispaseve on 03:34 Rating: 5

No comments

Post AD