Header AD

D’BANJ AJIGONGA KWA MPENZI WA ZAMANI

Mwanamuziki kutoka Nigeria D’ Banj.
INAVYOONEKANA bado mwanamuziki D’ Banj analo penzi la kweli kwa mpenzi wake wa zamani, Adama Indimi baada ya juzikati kujigonga kwake kwa kumtumia ujumbe mzuri mama wa demu huyo katika siku yake ya kuzaliwa.
Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki D’ Banj Adama Indimi.
Jamaa alifanya hivyo kupitia mtandao wa Instagram ambapo mbali na kumtakia heri ya kuzaliwa, pia alimuelezea mama huyo kama mkarimu na mpenda watu.
D’BANJ AJIGONGA KWA MPENZI WA ZAMANI D’BANJ AJIGONGA KWA MPENZI WA ZAMANI Reviewed by crispaseve on 03:37 Rating: 5

No comments

Post AD