BOA YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA UENDELEZAJI ARDHI YA AVIC
Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa Tanzania (BOA), Masia Mushi
(kulia), na Naibu Meneja Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya Uendelezaji wa
Ardhi ya AVIC, Liu Dexiang, wakisaini mktaba wa makubaliano ya mikopo na
uuzaji wa nyumba za bei nafuu kupitia BOA jijini Dar es Salaam jana,
zilizojengwa na kampuni hiyo eneo la Somangira, Kigambini jijini Dar es
Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa Tanzania (BOA), Masia Mushi
(kulia), na Naibu Meneja Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya Uendelezaji wa
Ardhi ya AVIC, Liu Dexiang, wakibadilishana hati za mktaba wa
makubaliano ya mikopo na uuzaji wa nyumba za bei nafuu kupitia BOA
jijini Dar es Salaam jana, baada ya kusaini leo, zilizojengwa na kampuni
hiyo eneo la Somangira, Kigambini jijini Dar es Salaam. Kulia ni
Mwanasheria wa BOA, Patrick Malewo na kushoto ni Mwansheria wa AVIC, Li
Jiayin.
Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Masia Mushi, akisisitiza
jambo kwa waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,
wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa pamoja na Kampuni ya Kimataifa ya
Uendelezaji wa Ardhi ya AVIC, kuhusu mradi mkubwa wa mikopo nafuu ya
nyumba zilizojengwa na kampuni hiyo, zilizopo eneo la Somangira,
Kigamboni jijini Dar es Salaam, ambao utawanufaisha watanzania hususani
wateja wa benki ya BOA, ambao ulisainiwa rasmi jana. Katikati ni Naibu
Meneja Mkuu wa AVIC, Liu Dexiang na kushoto ni Mwanasheria wa kampuni
hiyo, Li Jiayin.
Viongozi
wa Bank of Africa (BOA) kwa pamoja na viongozi wa Kampuni ya Kimatiafa
ya Uendelezaji wa Ardhi (AVIC), wakizungumza na waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam leo, kuhusu kusainiwa kwa mkataba wa makubaliano ya
mikopo nafuu uuzaji wa nyumba zilizojengwa ka kampuni hiyo, zilizopo
eneo la Somangira, Kigamboni, Dar es Salaam. Hafla ya kusaini mktaba huo
ilifanyika leo.
BOA YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA UENDELEZAJI ARDHI YA AVIC
Reviewed by crispaseve
on
11:19
Rating:
Post a Comment