WAZIRI BERNARD MEMBE APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MKOA WA RUVUMA.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe (kushoto) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) na vijana, waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa
mjini Songea jana, baada ya kuwasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kutafuta
wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi
mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini
zaidi ya 5,000. Picha zote na John Badi
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe (kushoto) akisoma moja ya mabango yenye ujumbe
mbalimbali yaliyobebwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na
vijana, waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa mjini Songea jana,
baada ya kuwasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kutafuta wadhamini
watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao
kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya
5,000.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe (katikati) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM), waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Ruvuma
iliyopo mjini Songea jana, baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya
kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata
wadhamini zaidi ya 5,000
WAZIRI BERNARD MEMBE APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MKOA WA RUVUMA.
Reviewed by crispaseve
on
11:22
Rating:
Post a Comment