BANDA LA AFRI-TEA &COFFEE BLENDERS (1963)LIMITED,KATIKA MAONYESHO YA SABASABA WAIBUKA NA BIDHAA MPYA YA UJI BORA
Mkuu wa Masoko wa Afri-Tea& Coffee Blenders (1963)Limited, Zachy Mbenna akikagua bidhaa za
Afri-Tea& Coffee Blenders katika banda la maonyesho ya Sabasaba ya
39 ya kimataifa ya kibiashaya yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mteja
akionja Uji Bora kama bidhaa mpya ambao hutengenezwa na Afri-Tea&
Coffee Blenders (1963)Limited katika banda la maonyesho ya Sabasaba ya
39 ya kimataifa ya kibiashaya
yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya wananchi waliotembelea katika banda la banda la maonyesho ya Sabasaba ya 39 ya kimataifa ya kibiashaya
yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam.(PICHA NA EMMENUEL MASSAKA)
BANDA LA AFRI-TEA &COFFEE BLENDERS (1963)LIMITED,KATIKA MAONYESHO YA SABASABA WAIBUKA NA BIDHAA MPYA YA UJI BORA
Reviewed by crispaseve
on
07:38
Rating:
Post a Comment