NEWZ ALERT:OLE MEDEYE ATIMKA CHADEMA NA KUHAMIA UDP LEO
Kada
wa Chadema na mbunge wa zamani wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole
Medeye ametangaza leo rasmi kuhamia chama cha UDP.Ole Medeye amezungumza
hayo mbele ya mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika katika ofisi
za Makao Makuu ya chama hicho,Mwananyamala jijini Dar.
Medeye
amezungumza kwa kujipambanua kuwa yeye anasimamia haki na demokrasia,
na kwamba amekerwa sana na tabia ya vyama vya Upinzani kutomheshimu
Naibu Spika,Dkt. Tulia Ackson Mwansasu,pichani kati ni Mwenyekiti wa
chama cha UDP,Mh.John Cheyo akishuhudia tukio hilo.
NEWZ ALERT:OLE MEDEYE ATIMKA CHADEMA NA KUHAMIA UDP LEO
Reviewed by crispaseve
on
05:05
Rating:
Post a Comment