Header AD

LIVERPOOL YAITANDIKA EVERTON 2-1 FA CUP

Mshambualiaji wa Liverpool Luis Suarez akishangilia goli alilofunga dhidi ya Everton.
Add caption

Mshambuliaji wa Liverpool, Andy Carroll (aliyebebwa) akishangilia na Luis Suarez baada ya kufunga bao la pili dhidi ya Everton wakati wa michuano ya FA Cup kwenye Uwanja wa Wembley, leo jijini London, Uingereza. Liverpool imeshinda 2-1.(PICHA NA IMAGE)
Reviewed by crispaseve on 10:19 Rating: 5

No comments

Post AD