MTANANGE WA MANCHESTER CITY, NORWICH
Muajentina anayechezea Manchester City, Sergio Aguero (kushoto)) akigombea mpira na mchezaji wa Norwich City, Elliott Ward wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza katika Uwanja wa Carrow Road Norwich, Uingereza leo.
Moja ya hekaheka ya mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza kati ya Manchester City na Norwich. Man City imeshinda mabao

Post a Comment